NEWS : Academic

img

Director Exams Results.

Matokeo ya mitihani ya mkurugenzi ( directors exams)iliyofanyika trh 7-9 mwezi 11 yametoka. 

Ikumbukwe kuwa mitihani hii inatolewa na mkurugenzi kila mwaka ikiwainalenga kupima ufundishaji na ujifunzaji shuleni. Hata hivyo ufaulu wake huleta picha kamili ya shule kuelekea mwisho wa mwaka. Aidha mitihani hii huandaliwa,kusimamiwa ,na kusashihishwa bila kuhusisha mwalimu husika ktk somo lake na matokeo hutolewa kwa namna hiyohiyo .

  • SOCIAL SHARE :