NEWS : Academic

img

Usajili unaendelea.

Tunapenda kuwatangazia  wazazi wote na walezi wanaohitaji nafasi kwa ajili ya watoto wao kwa mwaka wa masomo 2023 , kwa kujiunga au kwa kuhamia kuwa usajili umeanza na unaendelea,  hivyo fanya hima ili upate nafasi mapema na kufanya maandalizi ya kumleta mtoto shuleni mwezi January kuanza masomo rasmi. Karibuni sana 

  • SOCIAL SHARE :