NEWS : Academic

img

Tunaomba radhi.

Tunaomba radhi kwa wateja wetu kwa usumbufu wowote uliojitokeza kwa kuchelewa kutoa matokeo ya mtihani wa nusu muhula kulingana na tulivyo kuwa tumeahidi hapo awali....! Tulipata changamoto ambayo ilikuwa nje ya uwezo wetu lakini kwa neema ya Mungu tuneikabili na tumefanikiwa kupandisha matokeo! Aidha tu nashukuru kwa uvumilivu wenu na Mungu awabariki. Karibu tuwahudumie tena na tunaahidi kuendelea kuboresha huduma zetu zaidi. Ahsanteni sana niwatakie sikukuu njema. 

  • SOCIAL SHARE :