NEWS : Academic

img

STUDY TOUR AT J NI AIRPORT .

Wanafunzi wakifurahi baada ya ziara ya masomo:

Lengo la ziara hii lilikuwa ni kuongeza na kuibua shauku na ndoto ya watoto kuhusu usafiri wa anga, wengi wana ndoto za kuwa marubani. Walijifunza mengi juu ya usafiri wa anga ikiwa ni pamoja na namna ndege zinavyo ruka na kutua, walitebelea na kuzungumza na waendesha mitambo ya ndege pamoja na mambo mengine mengi. Hakika ilikuwa siku nzuri sana kwetu. Karibu sana zawadi kwa elimu bora tunajifunza kwa vitendo.

Viva zawadi

  • SOCIAL SHARE :